You are invited to attend our Swahili-English Bible School in London, Ontario and meet sisters and brothers from all over North America! There will be adult, teen and children classes along with games, crafts and music. See flyer below for all the awesome details.

Ujumbe kwa Kiswahili unafuata.

When: Saturday, July 4 – July 10
Where: 101 Wistow Street, London, Ontario
Please register with Chris and Martha Sales at chrisandmart@yahoo.ca

English version follows. 

Shule ya Biblia ya Baraka,

Ndugu na Dada Wapendwa,

Salamu za upendo katika Tumaini Moja tunalolishiriki ndani ya Kristo.

Kwa ridhaa ya Mungu, tunapanga kuendesha Shule Maalumu ya Biblia mwaka 2026 huko London, Ontario. Shule hii itakuwa ya Kiswahili na Kiingereza, kwa lengo la kuwaleta pamoja ndugu na dada wenye urithi wa Kiafrika kutoka kote Amerika

Kaskazini, ambao wangependa kuhudhuria shule ya Biblia ya Christadelphian.

Kwa ukarimu wao, CBMC na CBMA wametoa udhamini kwa takriban watu 40 wanaohitaji msaada wa kifedha, ili kusaidia kugharamia malazi na chakula, pamoja na kutoa msaada mdogo wa gharama za usafiri.

Shule ya Biblia ya Baraka itafanyika kuanzia Julai 4 hadi 10, 2026, kwa ridhaa ya Mungu. Kutakuwa na malazi kwa takriban watu 100 hadi 150, wa rika zote.

Pia, tunawakaribisha kwa moyo wote wale ambao si wa asili ya Kiafrika, lakini wangependa kushiriki nasi katika wiki hii ya mafundisho na ushirika.

Darasa la watu wazima litafundishwa kwa Kiswahili na Ndugu Innocent Baruani pamoja na Ndugu Benoit Mukendi, Mungu akipenda, wakijifunza kitabu cha Waefeso. Maelezo zaidi kuhusu darasa hili yatatolewa baadaye.

Madarsa ya vijana yatafundishwa kwa Kiingereza na Ndugu yetu Chris Sales, yakihusu Ahadi za Msingi katika Agano la Kale. Darasa la pili la vijana bado halijathibitishwa kikamilifu.

Kutakuwa na madarasa matatu ya vijana kulingana na umri (miaka 3–5, 6–9, na 10–13), yatakayofundishwa na timu ya truth corp kwa lugha ya Kiingereza. Pia kuna uwezekano wa kuwepo kwa huduma ya malezi ya watoto wadogo.

Baada ya mchana, kutakuwa na matembezi, michezo, na shughuli mbalimbali za kijamii.

Eklezia ya London limekubali kutoa ukumbi wao kwa matumizi katika wiki hii, kuanzia tarehe 4 hadi 10 Julai. Aidha, tumepata malazi ya usiku katika Chuo Kikuu cha Fanshawe kilichopo London, ambacho kiko umbali wa takribani kilomita 2 tu kwa kutembea kutoka Ukumbi wa eklezia ya London.
Ikiwa unamfahamu Ndugu au Dada yeyote katika Eklesia yako ambaye angefaidika kwa kuhudhuria shule hii ya Biblia na anahitaji kuomba ufadhili, tafadhali hakikisha anajisajili mapema ili kuwezesha maandalizi ya mahudhurio yao.

Kwa lengo la kuhakikisha ahadi thabiti ya kuhudhuria wiki hii, tunaomba kwamba kila mwombaji wa ufadhili achangie kiasi cha dola 25 za Kanada (CAD) (20 USA) kwa kila mtu anayesajiliwa, au kiwango cha juu cha dola 50 za Kanada (CAD) (40 USA) kwa familia.

Ikiwa unapanga kuhudhuria vikao vya mchana pekee, tafadhali jisajili pia. Utahitajika kulipa ada ya awali ya usajili ili kuthibitisha nafasi yako. Hata hivyo, Washiriki wa Mchana wataombwa tu kuchangia baadhi ya vyakula ili kusaidia maandalizi ya mlo katika kipindi cha wiki.

Ikiwa unahitaji msaada wa Kiswahili katika kujaza fomu ya usajili, tafadhali wasiliana na ….

Ikiwa Mungu atapenda, tunatarajia kuwa na wiki njema ya mshikamano tukilitafakari Neno la Mungu pamoja, nasi tunatumaini utaweza kuungana nasi.

Kwa upendo katika Kristo,
Kamati ya Shule ya Biblia ya Baraka

Canada
Bro. Brian and Sis. Lynne Carrick – Livonia Ecclesia – thecarricks@rogers.com
Bro. Chris and Sis. Martha Sales – Grand River Ecclesia – chrisandmart@yahoo.ca
Bro. Benoit Mukendi – Toronto West Ecclesia – benoitmukendi@yahoo.com
Bro. Kevin Spry – Brant County Ecclesia – exponent2718@gmail.com
Bro Bizo Tchumbula – Montreal Ecclesia – tchumbula12@gmail.com
Bro. Jack & Sis Noluvuyo Nomake – Montreal Ecclesia –

USA
Bro. Tony and Sis. Amy Ball – anthonyontheball@gmail.com
Bro. Victor Kiza – victorkiza832@gmail.com
Bro. Raymond Abwe – abweraymond3@gmail.com

Kiungo cha usajili
Baraka Bible School:  https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSflXmAQw8Jb4AW-BZ5-h9V2oaEQN4ed7dhP5oqDkHPKLLN6SA/viewform?usp=publish-editor

ENGLISH VERSION:
God willing, in 2026, we hope to hold a very special Bible school in London, Ontario. This Bible school will be a Swahili/English Bible school for the purpose of bringing together those with an African heritage across North America, who would enjoy attending a Christadelphian Bible school.
The CBMC and CBMA have generously offered 40 scholarships for those who require financial help to attend this school to cover the costs of accommodation and food, and also will provide some help with travel expenses.
Baraka Bible school will be held July 4th to 10th, 2026, God willing. There will be accommodation for approximately 100 to 150 people of all ages.
We also warmly welcome those who are not of African descent but would like to participate with us during this week.
Adult classes will be given in Swahili by Brother Innocent Baruani, and Brother Benoit Mukendi, God willing, on the book of Ephesians. More details will follow on this.
Teen classes will be given in English by our Brother Chris Sales on  “The Amazing Promises in the OT Fulfilled in Jesus Christ”, and the second class is yet to be fully determined.
There will be 3 classes (3-5, 6-9, 10-13) for the youth, run by the Truth Corp team in English, and possibly a nursery.
Afternoons will be open for hikes, games and activities.
The London Ecclesia has kindly offered their hall for use during this week – July 4th to 10th, and we have found overnight accommodation at Fanshawe College in London which is only a 2 km walk from the London Ecclesial Hall.
If you know of any Brothers or Sisters in your Ecclesia that will benefit from attending this Bible school and need to apply for a scholarship, please register EARLY to ensure they are able to attend.
In the interest of making a solid commitment to attending the week, we ask that everyone who applies for a scholarship contribute $25CAN per person to register, or a maximum of $50CAN per family.
If you plan to attend for day sessions only, please also register. You will be asked to make the initial registration fee to confirm your place, but Day Attendees will only be asked to contribute some food items to help with meals during the week.
Here are the details summarized for easy reading:
  • DATES: Saturday afternoon, July 4th, to Friday morning, July 10th .
  • OVERNIGHT ACCOMODATION: Fanshawe College in London (Student Accommodation)
  • LOCATION for studies: London Ecclesial Hall and Fanshawe College.
  • SPEAKERS: Adults – Brother Innocent & Brother Benoit with classes in Swahili
  • Teenagers: Brother Chris Sales & TBD
  •  Kids Classes: (Nursery, 3-5, 6-8, 9-12) will be run by the 2026 Truth Corp Team
  • WHO IS INVITED: Anyone who is interested in attending a Christadelphian Swahili/English Bible school.
  • Registration fee: $25CAN per person (or $20 USA) with a maximum of $50CAN per family (or $40 USA).
  • 40 full scholarships are available.
  • For those who can contribute:  $350CAN per person for the week (covers accommodation and food – Lunch and Dinner).
MEALS: 
Bring your own breakfast (kitchens are available in the student residence)
Lunch and dinners will be prepared in the London Ecclesial Hall by a combination of African and North American Sisters/Brothers (menu will be a blend of African and NA food)
SCHEDULE: 
Classes in the morning and evening, with a couple special evenings planned for praise and fellowship.
Activities (hikes, games, crafts, sports) in the afternoon

Please email Brother Chris and Sister Martha at chrisandmart@yahoo.ca for a suggested outline and if you would like to offer assistance in the planning.

NUMBER WHO CAN ATTEND: 

The London Hall can hold 150 comfortably. Student accommodation can also hold 150 +.

To register online please click: https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSflXmAQw8Jb4AW-BZ5-h9V2oaEQN4ed7dhP5oqDkHPKLLN6SA/viewform

There is a GOOGLE translate button on this form, if you need to translate it into Swahili.
God Willing, we look forward to a great week of fellowship around the Word of God, and we hope you can join us.
With love in Christ,
The Baraka Bible school committee.
 
For Canada
Bro. Brian and Sis. Lynne Carrick – Livonia  Ecclesia  – thecarricks@rogers.com
Bro. Chris and Sis. Martha Sales – Grand River Ecclesia  – chrisandmart@yahoo.ca
Bro. Benoit Mukendi – Toronto West Ecclesia – benoitmukendi@yahoo.com
Bro. Kevin Spry – Brant County Ecclesia – exponent2718@gmail.com
Bro Bizo Tchumbula – Montreal Ecclesia –  tchumbula12@gmail.com
Bro. Jack & Sis Noluvuyo Nomake – Montreal Ecclesia –
For the USA
Bro. Tony and Sis. Amy Ball – anthonyontheball@gmail.com
Bro. Victor Kiza – victorkiza832@gmail.com
Bro. Raymond Abwe – abweraymond3@gmail.com